Job Detail
-
Experience 3 Years
-
Industry Other
-
Qualifications Vocational Training
Job Description
KAMPUNI: MAFUTA NA GESI*
tuna tafuta madereva wa Malori (Gari kubwa) na magari aina ya Tipper.
MAHITAJI
• Barua ya Maombi ya kazi na CV
• Leseni ya Udereva daraja E
• Barua ya kusitisha au kumaliza mkataba na mwajiri/mwajiri wa zamani pamoja na Certificate of Service.
• Cheti cha mafunzo ya Gari kubwa VETA au NIT
• Umri kuanzia 30 mpaka 48
• Kopi ya TIN namba yako.
• Kopi ya kitambulisho cha NIDA au namba yako ya NIDA.
• Kopi ya alama za vidole (fingerprints) ya hivi karibuni
• Pasipoti size picha ndogo ziwe 4
• Picha kubwa yako (picha nzima)
• Uzoefu usiopungua miaka 3
Wasilisha viambatanishi tajwa hapo juu katika ofisi yetu iliyopo Derm Plaza, ghorofa ya 7 Makumbusho- Dar es Salaam kabla ya tarehe 30 mwezi Novemba 2024
Kwa maelezo zaidi piga namba hii: 0743 564 568